Azimio La Arusha Pdf

Tanzania in 1964, he authored the Azimio La Arusha and a month later, a paper on Education for Self- Reliance. His intention for post-independent Tanzania went much further than protest actions that. Mwaka 1972, Mwalimu Julius Nyerere akiwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alitangaza Azimio la Iringa lililokuwa na kauli mbiu ya Siasa ni Kilimo. Ilikuwa ni baada ya kufafanua falsafa ya maendeleo kwamba ili tuendelee tuna hitaji vitu vinne watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora.

Makala hii ni moja ya makala niliyowahi kuandika Tarehe ikiwa ni kumbu kumbu ya miaka 11 baada ya Mwalimu kututoka. Nimeona leo niirudie kuitundika upya japo katika baadhi ya vipengele ili wale ambao wanadhani kwamba Mwalimu alizembea katika suala la elimu wajizodoe wenyewe. Miaka ya hivi karibuni kumetokea na wimbi kubwa la kumkashifu Mwalimu kwamba alikuwa mdini, mbaguzi kwa kigezo cha wao kama wanasiasa wa sasa kuonekana kwamba wako sahihi (Kwa kweli sio rahisi kuelezea mazuri aliyoyafanya Mwalimu Nyerere katika nchi hii ya Tanzania ni ngumu kudhani kama hawa watawala wetu wangekuja kuyageuza kiasi hiki). Kuna msemo watu huwa wanasema 'KAMA SIO JUHUDI ZAKO NYERERE.NA FULANI ANGETOKA WAPI.? ' Nyerere alitumia nguvu nyingi kuwasomesha tena bure. Leo hii wanatugawa kwa misingi ya ukabila,jinsia,dini,kipato na vyeo. Ni kiongozi gani wa serikali anayeweza kumsomesha mtoto wake shule ya kata?

Cheat engine portable zip. Why must we endure an installer? Why not make a portable zip only release? Download Cheat Engine 6.1 Portable for free. Cheat Engine 6.1 Portable. Cheat Engine 6.1 Portable. Connect; Articles; Cloud Storage; Business.

Hao wanaotunga hizo sera vichwa vyao ni mstatili,pembe tatu, duara ama trapeza? Malengo yao ni kuwafanya watoto wa makabwela mambumbumbu wa kwao wawasomeshe shule za gharama tena nje kwa masurufu ya serikali ambayo ni kodi ya huyo huyo kabwela ili watoto hao waje kututawala na umbumbumbu wetu. HAIWEZEKANI Makala imeanzia kwenye paragrafu ya Azimio la Arusha. Endelea kusoma. AZIMIO LA ARUSHA Mwaka 1967 tarehe 5 mwezi wa pili, Mwalimu alitangaza Azimio la Arusha. Sababu kuu ya kutangaza Azimio la Arusha ilikuwa ni kutekeleza ahadi kwa wananchi wakati wa kudai uhuru yaani kutaifisha rasilimali mbalimbali kuwa mikononi mwa wananchi, kuwa na uchumi imara unaorandana na utamaduni wa mtanzania, kupiga vita unyonyaji na ubaguzi.

Zipo sababu zilizojikita kitaalam ambapo wachambuzi na wataalam wa masuala ya Siasa wanasema zinaweza kuwa chachu ya AZIMIO LA ARUSHA. Nitazitaja kwa ufupi • Tukio la uhaini wa Jeshi la K A R tulilolirithi kutok kwa mkoloni. Ambapo baadhi ya makamanda wake bado walikuwa ni wakoloni na hivyo kuleta mtafaruku miongoni mwa wazawa/wananchi kuhusu jeshi hilo.

Wakati huo huo wazungu wale tayari walikuwa ni raia wa Tanganyika. Tukio hilo lilifanikiwa kuzimwa na jeshi kuvunjwa na kuundwa upya.

• Sera ya Uhuru na maendeleo kwa wananchi. Mwalimu aliwaahidi wananchi wakati wa uhuru kwamba chama cha TANU kikifanikiwa kukamata dola jambo la kwanza ni kuwawezesha wananchi nafasi mbalimbali serikalini pamoja na fursa mbalimbali.

Jambo hilo halikuweza kutendeka kutokana na mizizi ya mkoloni na hivyo wananchi waliona kana kwamba wamesalitiwa. • Muungano wa Tanzania na Zanzibar mwaka 1964. • Vita baridi baina ya Jamhuri ya Kisovieti na mataifa ya magharibi yaliyofuata sera za kibepari. Ambapo yapo mataifa mengine madogo madogo yaliyoingia katika mkumbo huo.

• Mgogoro wa kidiplomasia baina ya Ujerumani magharibi na Mashariki. Tanganyika ilikuwa na mahusiano ya kidiplomasia na Ujerumani Magharibi wakati Zanzibar ilikuwa na mahusiano na Ujerumani Mashariki. Ulipoanzishwa Muungano jitihada za makusudi zilifanyika ili kusawazisha hiyo hali na Tanzania ikafuta rasmi uhusiano wa Kidiplomasia baina yake na Ujerumani Magharibi. Ujerumani Magharibi ilikuwa na miradi mingi Tanganyika wakati huo na ndio inayosemekana kuwa ilijenga jengo lile la kubwa Mwavuli(Nkurumah Hall) lililopo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambalo nalo halikumalizika kutokana na kuvunjika kwa uhusiano wa kidiplomasia baina yake na Tanganyika. Tukiachana na chambuzi za watafiti, wanazuoni ama wasomi, Nyerere alikuwa na wazo ambalo baadhi ya watu waliliona kama ni ndoto za Alinacha ama wazungu huita ' Utopian' lakini ukweli ni kwamba Mwalimu aliona mbali.